send link to app

aje farms


4.4 ( 8784 ratings )
Zakupy
Desenvolvedor: Cedcommerce LLC
Darmowy

Utajifunza kilimo/ufugaji na pia utaweza kuuza na kununua mazao ya kilimo & mifugo.Ni application ambayo itakukutanisha na kuchat na wataalamu mbalimbali waliobobea kwenye sekta mbalimbali za kilimo biashara kuanzia tathmini ya miradi,huduma za ugani,afya ya mimea na wanyama,mazingira na uwekezaji .Application hii itakuza mtandao wako wa biashara kwa ujumla.Utapata kutazama ziara za mashambani ,mijini,viwandani ndani na nje ya Tanzania huku ukijifunza tamaduni na mila za makabila mbalimbali ya Afrika. Hapa pia utapata taarifa za masoko ya bidhaa mbalimbali za kilimo na mifugo.Unaweza pia kununua pembejeo,mashine,vyakula vya mifugo hapahapa.Ni application itakayobadili maisha yako huku ukielimika na kuburudika.Fursa iliyoje kutoka AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA !